Logo Bahá'í Tanzania Tovuti Rasmi ya Wabaháʼí wa Tanzania
  • Nyumbani
  • Kuhusu Imani
    • Mafundisho
    • Kanuni
    • Maisha ya Jumuiya
  • Mfumo wa Kiutawala
    • Báb
    • Baháʼuʼlláh
    • ʻAbduʼl-Bahá
    • Shoghi Effendi
    • Nyumba ya Haki ya Ulimwengu
  • Maktaba
  • Hifadhi ya Media
    • Picha
    • Video
    • Podcasti
  • Blogu
  • FAQ
  • Mawasiliano
  • English · Kiswahili

Hifadhi ya Picha

Matukio kutoka shughuli za jumuiya

Kategoria
Programu ya Uwezeshaji wa Kiroho wa Vijana Chipukizi-Kurugongo

Programu ya Uwezeshaji wa Kiroho wa Vijana Chipukizi-Kurugongo

Washiriki wa kikundi cha vijana chipukizi katika Kijiji cha Kurugongo, Klasta ya Lalambe, wakiwa pamoja na wahuishaji wao baada ya kipindi cha kujifunza.

Vikundi vya Vijana Chipukizi
Programu ya Uwezeshaji wa Kiroho wa Vijana Chipukizi

Programu ya Uwezeshaji wa Kiroho wa Vijana Chipukizi

Programu ikiendelea katika Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, Dodoma. Baada ya kutambulishwa kwa uongozi wa shule, programu hiyo ilipokelewa vizuri, na uongozi uliwahamasisha vijana kuendelea kushiriki kwa wingi.

Vikundi vya Vijana Chipukizi
Washauri Wasaidizi

Washauri Wasaidizi

Picha ya pamoja ya Mshauri wa Bara, Wajumbe wa Baraza la Kiroho la Kitaifa la mwaka 2026–2027, pamoja na Washauri Wasaidizi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Kitaifa.

Washauri wa Bara
Wajumbe wa Baraza la Kiroho la Kitaifa

Wajumbe wa Baraza la Kiroho la Kitaifa

Wajumbe wa Baraza la Kiroho la Kitaifa wakiwa pamoja na Mshauri wa Bara, baada ya kuchaguliwa kwa Baraza jipya Aprili 2026

Baraza la Kiroho la Kitaifa (NSA)
Darasa la Watoto-Dar es Salaam

Darasa la Watoto-Dar es Salaam

Darasa hili hufanyika kila Jumapili Bahá’í senta, Upanga, Dar es Salaam, ambapo watoto kutoka sekta mbalimbali hukutana kwa ajili ya kujifunza.

Madarasa ya Watoto
Uchaguzi wa Wawakilishi wa Mkutano Mkuu-Dar es Salaam

Uchaguzi wa Wawakilishi wa Mkutano Mkuu-Dar es Salaam

Wawakilishi waliochaguliwa kushiriki katika Uchaguzi wa Baraza la Kiroho la Kitaifa kwa kipindi cha 2027–2028, held in Dar es Salaam

Mabaraza ya Kiroho ya Mahali (LSAs)
Mkutano wa Tafakari wa Waratibu wa Kanda

Mkutano wa Tafakari wa Waratibu wa Kanda

Mkutano wa Tafakari wa Waratibu wa Kanda ya Ziwa Mashariki, uliofanyika Mwanza

Halmashauri za Kibaha'i za Kanda (RBC)
Mkutano wa Kiasasi wa Kanda ya Kati wa mwaka 202

Mkutano wa Kiasasi wa Kanda ya Kati wa mwaka 202

Mkutano wa Kiasasi wa Kanda ya Kati wa mwaka 2025, uliofanyika mkoani Tabora.

Mikutano ya Kiasasi
Mjadala wa Dini mbalimbali

Mjadala wa Dini mbalimbali

Marafiki Wabaha’i wakishiriki katika mjadala wa masuala ya Imani pamoja na wawakilishi wa dini mbalimbali, uliofanyika Dodoma.

Shughuli za Jumuiya na Kijamii

Bahá'í Tanzania

Dunia ni nchi moja, na binadamu raia wake. - Nyaraka za Bahá'u'lláh.

Viungo Vya Haraka
  • Maktaba ya Kibaháʼí
  • Tovuti ya Kimataifa
  • Habari za Kibaháʼí za Kimataifa
  • Nukuu za Kibaháʼí
Rasilimali
  • Mafundisho
  • Kanuni
Mawasiliano
  • Box 585, Dar es Salaam, Tanzania
  • +255 685 637 422
  • +255 785 875 846
  • secretariat@bahai.or.tz

© 2026 Bahá'í Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.