Bahá'u'lláh ni Muanzilishi wa Imani ya Kibahá'í na Mjumbe wa Mungu kwa siku za leo aliyetumwa na kuongoza jamii nzima ya binadamu.
Báb ni Mlenga-njia wa Imani ya Bahá'í. Aliandaa njia kwa ajili ya Bahá'u'lláh na akafundisha kwamba Mjumbe mkubwa zaidi angejitokeza hivi karibuni.
'Abdu'l-Bahá alikuwa mwana wa kiume wa kwanza wa Bahá'u'lláh na Mfasiri aliyeteuliwa wa mafundisho Yake. Mfano wake wa huduma na upendo ni muhimu katika maisha ya Kibahá'í.